Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad, akimtambulisha Mansour Yussuf Himid kwa wanachama wa Kiembesamaki na kuwaomba wamuunge Mkono leo Unguja
Aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Kiembesamaki (CCM) Mansour Yussuf Himid, akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika jimboni humo.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.
Wafuasi na wapenzi wa CUF wakifuatilia mkutano huo wa kumtambulisha Mansour.
Michuzi naona uccm umeanza kuku toka ,I'm surprised your change of heart
ReplyDelete