Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimiana na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks alipofika ofisini kwake Migombani kwa mazungumzo.
Balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks akisisitiza jambo wakati wa mazungumzo yake na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks alipofika ofisini kwake Migombani.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiwa katika picha ya pamoja na balozi wa Uholanzi nchini Tanzania Jaap Frederiks (kushoto). Kulia ni afisa ubalozi wa Uholanzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...