Meya wa Halmashauri ya Tabora, Gulam Dewji akijitetea mbele ya Baraza la Maadili jijini Dar es Salaam leo. Mstahiki Ghulam anatuhumiwa kwa kumiliki mali mbalimbali, zikiwamo pikipiki 422, viwanja vitano; vinne kati yake, katika eneo la Ipuli na kimoja Isule na nyumba moja yenye thamani ya Sh milioni 16 katika eneo la Kazehili.
 Meya wa Halmashauri ya Tabora, Mstahiki Gulam Dewji akilegeza koo wakati akijitetea 
 Mwenyekiti wa Barala la Maadili wa Viongozi wa Umma, Jaji mstaafu Hamis Msumi (katikati), Jaji Hilda Gondwe (kulia) na Jaji  Celina Wambura wakifutilia utetezi wa Meya wa Halmashauri ya Tabora, Mstahiki Gulam Dewji
Meya wa Halmashauri ya Tabora, Gulam Dewji akijitetea mbele ya Baraza la Maadili jijini Dar es Salaam leo. 
Gulam akizungumza na wanasheria wa Sekretarieti ya Maadili kwa Umma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. The mdudu, yaani nyie wote huko nyumbani ndipo mlipoifikisha Tanzania yetu pendwa?....ndugu zangu watanzania mm niwe mkweli kwenu siludi huko ili mwenyezi mungu anifungurie mirango ya peponi huku niliko. ..haki ya mungu leo leo nimesikia mkuu wa wiraya ya kinondoni Paul makonda ametembelea hospital ya mwananyamala. ..na kakutana na kioja cha ajabu eti kitandanda kimoja watoto wa5 na kinamama waliojifungua wapo kwenye sakafu...jamani hivi inaingia akilini kweli? ...huku akina kanjibai kama hao wanajichotea Mali za hao wakinamama na watoto wanaoteseka pasipo na sababu za msingi. ..cha kushangaza hao wanasheria hapo wanamkenulia meno huyo ponjoro...sasa mm nikuulizeni wote huko nyumbani hivi wakati wa baba wa taifa yaani mwarimu nyerere hiyo mishetani ilikuwemo kwenye serikali yake? Jibu no and no but why today? Wote wezi wa Mali za watanzania kesho motoni hata msari vipi mnajiongopea mtacheza na moto tena usiozimika. ..mjomba michuzi fikisha huu ujumbe ili watanzania wote wajue the mdudu asivyo wapenda mafisadi. ...Mm naumia sn moyoni.

    ReplyDelete
  2. inawezekana huna sheria wewe ndio maana hutaki kurudi bongo na km unayo basi utakuwa umewaibia wazazi na kuja ulaya america utajaza mwenyewe .na km hujawaibia wazazi utakuwa umeletwa kwa box piga ua galagaza bongo patamu

    ReplyDelete
  3. Mchangiaji hapo juu usimtikane mtu kwa sababu ya rangi yake au asili yake, huo ni ubaguzi kama vile nyie wabongo huko mnavyolalama kuwa mnabaguliwa na wazungu, kumbuka huyo ni mtuhumiwa hajakuwa na hatia bado, eti unaomba Mungu akupe pepo huku umejaa dhana za kibaguzi na matusi mazito mazito kwa mwenzako, au hujui kuwa ww na huyo Meya mumeumbwa na Mungu mmoja!

    ReplyDelete
  4. The mdudu, onyo kwa wadau wote wa mjomba michuzi...ukiwa fisadi au mbaguzi nakuomba usi comment chochote kwenye comments zangu....(1) I hate all fisadi people's(2) ww kama ni mbaguzi number 1 mm ntakua number 2 na tutapelekana vile utakavyo ila kwenye ukweli ntasema daima haiwezekani meya ponjoro amejirimbikizia Mali za watanzania huku mama zangu na dada zangu na watoto wakiteseka Then mnasema eti mm ni mbaguzi niite utakavyo mm sina muda wa kucheka na mafisadi, maponjoro and kanjibai full stop.

    ReplyDelete
  5. wewe mdau wa kwanza uko FULL UBAGUZI kiasi kwamba hata ulichosema kimepoteza maana...pole yako

    ReplyDelete
  6. Hivi kuna tatizo gani kwa mtu kuwa tajiri? Si utajiri umepatikana kwa juhudi binafsi kwa kazi za halali? Au kuna eneo ambalo kuna madai ya mtu au taasisi kuibiwa?
    Kupitia Azimio la Arusha ambalo lilikataza wananchi na nchi kuwa tajiri ndio athari ya hali ya maisha tuliyo nayo hivi leo.

    ReplyDelete
  7. Ndiyo nyinyi munaokwenda kuwaramba nyayo wawasaidie kwenye timu zenu za mipira ya miguu. Leo munalalama nini?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...