Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika mkutano wa tatu wa dunia kuhusu upunguzaji wa hatari ya majanga duniani uliofanyika katika mji wa Sendai nchini Japan ambako alimwakilisha Rais Jakaya Kikwete Machi 14, 2015. Kulia ni Naibu Waziri wa mambo ya Nje na ushirikiano wa Kimataifa, Mahadh Maalim na watatu kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mohamed Abood Mohamed. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...