Mnadhimu wa Jeshi la Polisi Jijini Arusha, Boniventure Mshongi
(kushoto) akimkabidhi kikombe Mchoma nyama wa Bar ya Milestone
Park, Lawrence Kimonge mara baada ya kuibuka mabingwa katika
mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika katika Uwanja wa
Nanenane mwishoni mwa wiki jijini Arusha .Katikati ni Meneja wa bia
ya Safari Lger, Edith Bebwa.
Mashabiki wa Bar ya Milestone Park ya jijini Arusha wakiwa wamembeba juu mchoma nyama wa bar hiyo mara baada ya kutangazwa bingwa katika mashindano ya Safari Lager Nyama Choma mkoani humo yaliyofanyika katika Uwanja wa Nane nane mwishoni mwa wiki
Na Mwandishi Wetu.Arusha.
MILESTONE PARK Bar jijini Ausha wameibuka mabingwa katika fainali za
mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mswishoni mwa
wiki katika Nanenane na hivyo kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi milioni moja na
Kikombe.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...