Mkuu wa Wilaya ya
Ngorongoro Hashimu Shaibu akila kiapo cha
utumishi mbele ya Mkuu wa mkoa wa Arusha Daudi Felix
Ntibenda jana katika hafla iliyofanyika katika
Ofisi
za Mkuu wa Mkoa huyo
chanzo libeneke la kaskazini blog |
Most read Swahili blog on earth
chanzo libeneke la kaskazini blog |
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Naomba kuelimishwa kwa sasa Tanzania ina wilaya ngapi na mikoa mingapi manake naona kuna mabadiliko ya mara kwa mara.
ReplyDelete