Home
Unlabelled
MNARA WA SAA KATIKATI YA JIJI LA DAR
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nikipita hapo huwa nasema kuna minara ya kisasa zaidi sijui lini nao utaboreshwa au kubadilishwa. Kulikuwa na jengo moja pia hapo karibu mabati yamechoka hii ni sura ya jiji inaweza kuboreshwa zaidi.
ReplyDelete
ReplyDeleteMnara huu ulijengwa katika mitaa ya stasheni ya reli/Uhuru/Indis na Independence avenue wakatihuo (majina ya mitaa sasa imebadilika).Mnara ulijengwa kuonyesha sehemu ambayo inaanzia mwinuko toka usawa wa bahari kwa mji wa Dar Es salaam mnamo December 1960.
Kila mkoa hapa Tanzania (Tanganyika)kuna eneo la kuanzia Kilometa au mwinuko toka usawa wa bahari.Hizi ni sehemu muhimu kwa historia na alama kwa wasafiri.
ukisema mnara wa saa, Dsm ilikuwa na watu Elfu 10,000 kila kitu kinatosha, kuanzia maji umeme, barabara,magari mpaka sehemu za starehe, mdau kutoka GERMANY mzaliwa wa dar njia panda ulaya
ReplyDeleteMnara huu ulijengwa na wakazi wa Dar es Salaam baada ya kupata heshima ya kuwa jiji na pia katika mnara huu ndio zero diastance ya kwenda mikoani ikimaanisha unaanza kuhaesabu umabli kuanzia hapa
ReplyDelete