Home
Unlabelled
MSAADA WA MATIBABU UNAHITAJIKA KWA KIJANA BARAKA RAMADHANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Congenital megacolon au Hirschsprung's disease (HD)ndio aina ya tatizo linalomsumbua kwa jinsi nilivyopata kuyaelewa maelezo ya mama juu ya historia ya tatizo.....ni kweli tatizo husababishwa na kutofanya kazi kwa seli zinazoendesha utumbo mpana tatizo linaweza likawa kwa segment ya utumbo mpana au utumbo wote. Hili tatizo uanza siku za mwanzo za uhai yaani kukua kwa mtoto akiwa bado yu tumboni mwa mama. Matibabu yake hujumuisha kutoboa tumbo ili haja itokee kwa nje kama video inavyoonekana haya ni matibabu ya mwanzo wakati unasubiri, pia kukata sehemu iliyo na tatizo na kuunga upande ulio hai.Inategemea aina ya ukubwa wa tatizo ila nakumbuka KCMC zilikua zikifanyika hizi operation wakati nipo bongo.
ReplyDeleteDaah! pole sana mtanzania mwenzetu. Ina uma sana yaani kila niiona hii video haapa nasisimka tu.
ReplyDelete