Familia ya Mr Robert Makilagi ya Pugu Kajiungeni inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mpendwa Robert John Ndege Makilagi kilichotokea usiku wa kuamkia tarehe 11/3/2015 katika hospital ya Hindu Mandal, Dar es salaam.
Habari ziwafikie ndugu, jamaa na marafiki wote popote pale walipo.
Marehemu Mzee Makilagi ataagwa nyumbani kweke pugu kajiungenikesho Jumamosi asubuhi tarehe 14/3/2015 ikifuatiwa na ibada itakayoanza saa 8 mchana katika kanisa katoliki la Pugu lililopo Pugu Sekondari.
Baada ya kumalizika Ibada, Marehemu atazikwa saa tisa (9) katika makaburi ya Wakatoliki Pugu.
Bwana ametoa, na Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.
AMINA
R.I.P. Mzee Makilagi.Pia nawapa pole familia nzima ya Makilagi,John,Marystella,BONI na Bertha, M.MUNGU Awape Subra,AMIN.
ReplyDeleteMay Allah Rest Your Soul In Peace. As from him we came, To him we shall return, to him we belong. My thoughts and prayers goes out to his family. Again Rest In Peace. You will be remembered. Your Ex- EAA/ATC colieg.
ReplyDeleteHuyu ni baba ake floxi
ReplyDeleteAAAAAAAAAAA JAMANI POLENI SANA NAMKUMBUKA SANA MZEE WA CARGO - GULF AIR,MUNGU AMLAZE MAHALI PEMA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE
ReplyDelete