Bondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' wakitunishiana misuli na Mohamed "Mudy" Matumla baada ya kupima uzito Dar es salaam jana kwa ajili ya mpambano wao leo katika ukumbi wa Diamond jubilee |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainua mikono juu mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Cosmas Cheka baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo |
Promota wa mchezo wa masumbwi nchini Jay Msangi 'Jiwe Gumu' katikati akiwainuwa mikono juu mabondiaBondia Wang Xin Hua kutoka China 'kushoto' na Mohamedi Matumla
baada ya kupima uzito jana kwa ajili ya mpambano wao wa leo
Mabondia Japhet Kaseba (kushoto) akitunishiana misuli na Mada Maugo baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa leo Ijumaa katika ukumbi wa Diamond Jubilee.
Tunaomba matokeo na picha tafadhali
ReplyDelete