Kaimu Mkurugeniz wa Shirika la Bima la Taifa (NIC),Sam Kamanga akuzungumza katika Mkutano na Menejimenti ya Shirika hilo uliofanyika leo kwenye Ukumbi wa JB Belmont,Golden Jubilee,jijini Dar es salaam.Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika hilo,Dkt. Edmund Mndolwa.
Sehemu ya Menejimenti ya Shirika la Bima la Taifa (NIC) wakifatilia kwa makini Mkutano huo.
Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Shirika la Bima la Taifa (NIC),Dkt. Edmund Mndolwa (wa nne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Shirika hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...