Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Mhe Salim Mwalim, akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sengerema mjini humo mkoani Mwanza
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Mhe. Salim Mwalim,
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Mhe. Salim Mwalim, akisisitiza jambo
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Zanzibar, Salim Mwalim (kushoto) akimsikiliza kada wa Chadema Wilaya ya Sengerema, Hamis Tabasamu (kulia) akieleza nia yake ya kugombea Ubunge Jimbo la Sengerema katika Uchaguzi Mkuu 2015
Huyu salim mwalimu ni naibu katibu mkuu zanzibar. Mbona mikutano yote anafanyia bara, badala ya kuimarisha CHADEMA huko visiwani??
ReplyDelete