MFUKO wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) umeshiriki kwenye Mbio za nyika za zinazoendelea kuwa maarufu mwaka hadi mwaka Kilimanjaro ambazo zimefanyika kwa mwaka wa 13 mfululizo. 

 NSSF ilishiriki ikiwa kama mdhamini wa mbio za KM 5 ambazo zilishirikisha washiriki zaidi ya 3500. Pamoja na udhamini huo NSSF ilipata nafasi ya kutoa elimu kwa wakazi mbalimbali wa Mkoa wa kilimanjaro walioshiriki na kutembelea kwenye banda lao.
Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro. Mkurugenzi wa Uendeshaji wa NSSF, Cresentius Magori (wa tatu kulia) akishiriki kwenye mbio za Kilimanjaro.Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF- Kilimanjaro wakishiriki kwenye mbio za Kilometa 5. Baadhi ya wafanyakazi wa NSSF- Kilimanjaro wakishiriki kwenye mbio za Kilometa 5.Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF - Kilimanjaro wakimalizia kukimbi mbio za kilometa 5. Baadhi ya Wafanyakazi wa NSSF - Kilimanjaro wakimalizia kukimbi mbio za kilometa 5.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. So many people needs to loose weight.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...