Jiunge na Dj Luke Joe na Mubelwa Bandio katika kipindi cha MISHUMAA YA KALE.
Kipindi kinachotusikiliza nyimbo nyingi za miaka iliyopita na habari juu yazo Jiunge nasi 5:00pm EST kupitia www.kwanzaproduction.com ama www.vijimamboradio.com ama bordermediagroup.com.
Kama una TuneIn app, ingia http://tun.in/sfdl0
Kwa mlio Marekani na Canada, tusikilize kwa kupiga simu 716 748 0086
Dj Luke na Mbelwa Bandio naona kupitia : http://tun.in/sfdlo sauti ni bora zaidi huku Europa ya Kaskazini kuliko linki za Kwanzaprodtn ama vijimamboaradio ambazo kuna interference of ''outside hissing sounds''.
ReplyDeleteShukrani kwa kutupatia burudani mchanganyiko.
Mdau
Diaspora
Northern Europe