Mkurugenzi wa Benki ya CRDB Kanda ya Ziwa, Godwin Zacharia (katikati) akimkabidhi kikombe Mpishi Mkuu wa Bar ya SD Exective ya jijini Mwanza, Mussa Mashauri mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano ya Safari Nyama Choma yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Mwanza.Kulia ni Meneja wa bia ya Safari Lger, Edith Bebwa.

Na Mwandishi Wetu.Mbeya.

SD EXECUTIVE Hotel jijini Mwanza wameibuka mabingwa katika fainali za mashindano ya Safari Lager Nyama Choma 2015 yaliyofanyiaka mswishoni mwa wiki katika Uwanja wa Furahisha na hivyo kuzawadiwa fedha taslimu Shilingi milioni moja na Kikombe.

Nafai ya pili ilichukuliwa Gemestoni Bar ambayo ilizawadiwa pesa taslimu Shilingi 800,000/=,nafasi ya tatu ni Shooters Bar ambayo ilizawadiwa pesa taslimu Shilingi 600,000/=,nafasi ya nne ni Lunala ambayoilizawadiwa Shilingi 400,000/= na nafasi ya tano ni Victoria Prince Bar ambayo ilizawadiwa Shingi 200,000/-

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...