Home
Unlabelled
TAMKO LA RSA KUHUSU AJALI ZA BARABARANI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Maelezo mengi hayafai tunahitaji vitendo. Karabatini pale mahali ni pabaya sana. Tuangalie ulimwengu wa wenzetu jamani. kabarabara kamoja tu siku zote. Tujenge barabara mbilimbili kupunguza ajali. Watu wanagawana pesa za Escrow, matokeo yake ndo haya. Zingekwenda kujenga barabara nani angemlaumu mwenzake? hata yule aliyezigawa angeangalia mahitaji muhimu angekuwa amefanya kitu bora kuliko alivyozigawa kwa watu na kuleta matatizo makubwa. Tujifunze kuleta maendeleo ambayo ni msaada mkubwa wa jamii zetu. Jengeni pale mahali siku zote pako vile vile.
ReplyDelete