Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato (wa pili kulia), akipokea Hundi ya Sh. Milioni 56 kutoka kwa Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto) kwa ajili ya kusaidia mradi wa maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Meneja Mahusiano wa TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. KAru Karapina.
  Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Kanda ya Kusini, Bw. Victor Kavishe (wa pili kushoto, akimkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga, mkoani Pwani, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato, Hundi ya Sh. Milioni 56 zilizotolewa na Kampuni hiyo kwa ajili ya kusaidia mradi wa Maji katika Kijiji cha Magoza, kilichoko Kata ya Kiparang'anda. Kushoto ni Mkuu wa Mahusiano TBL, Bi. Emma Urio na Diwani wa Kata hiyo, Bi. Karu Karavina. (Na Mpigapicha Wetu)
 Akionesha Hundi aliyopewa na TBL

 Diwani wa Kata ya Kiparang'anda, iliyoko Mkuranga, mkoani Pwani, Bi. Karu Karavina akiishuikuru Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), baada kampuni hiyo kutoa Hundi ya Sh. Milioni 56 za mradi wa maji katika kijiji cha Magoza.. Walioketi kutoka kulia ni Mkuu wa Wilaya hiyo, Luteni Mstaafu Abdallah Kihato na Meneja Uhusiano TBL, Emma Urio.

PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...