TTCL na Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya akina mama baada ya kutembelea banda la TTCL kwenye maadhimisho hayo.
Picha ya pamoja ya baadhi ya akina mama na viongozi wa mkoa waliohudhuria katika siku yao muhimu.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...