UMOJA wa Vyama vya wanafunzi Elimu ya juu kutoka vyuo mbalimbali kanda ya kaskazini Kilimanjarona ,Arusha ,wajitokeza kumshawishi Prof. Sos peter Muhongo Kugombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mwaka 2015.(Picha na Jamiiblog).
Pia wanasema kuwa amekuwa akiwezesha uchumi kujitegemea na kupinga ulanguzi katika sekta ya uwekezaji pamoja na kutetea vijana katika uwekezaji na kupata ajira.
Vijana hao ambao ni umoja wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu katika picha kutoka kushoto ni NELSON WILSON MACHUMU ,TUMAIN UNIVARSITY. 2 DAUD HIPOLITY SHAYO CHUO CHA UHASIBU (IAA)3 SARAH AMINIRABI MUSHI ARUSHA UNIVARSITY 4CHARLES NGEREZA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA.5HOBESHIJUVENARY MAKUMIRA UNIVARSITY PAMOJA NA RAHMA YUSUPH SENGEZA CHUOCHA JOMO KENYATA
Hakuna rangi hatutaona mwaka huu.Hata rangi za rainbow zinasingiziwa.
ReplyDeleteMwandishi ungeandika umoja wa vyama vya wanafunzi wa elimu ya juu kutoka mkoa wa Arusha sio kanda ya kaskazini kwa vile sijaona muwakilishi kutoka chuo cha elimu ya juu chochote kilichopo mkoa wa Kilimanjaro. Itawezekanaje viongozi wa vyama hivyo wa kanda watoke mkoa wa Arusha tu wakati Moshi kuna vyuo kama Chuo kikuu cha ushirika, Chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Stefano Moshi na chuo kikuu kishiriki Mwenge? Hao wamekurupuka?
ReplyDeleteBila shaka kwa mantiki ya uhuru wa kutoa maoni..............NATUMIA FURSA YA JUKWAA HILI KUUNGA MKONO HOJA HII ya Prof. kujitosa kwenye ulingo wa kinyang'anyiro cha 2015.
ReplyDeleteUNIVARSITY UNIVARSITY UNIVARSITY ndo nini ?
ReplyDeleteHawa nao sijui wametumwa na nani? Huu ni mwaka wa viroja vitupu
ReplyDeleteHahaha ndio wasomi wetu hawa, kazi ipo haswa na bado mnalalamika kwanini tunawaajili wakenya na waganda na kuwasahau nyinyi. Noana wanyarwanda nao wameanza kuja vizuri sana.
ReplyDeleteHongereni wasomi wetu.
Hao wanasoma UNIVERSITY au UNIVARSITY???? Ama kweli kama ni hivyo wana haki ya kumuomba professor wao bwana Muongo. Na huyo wa Kenyatta univ. anamwakilisha nani? Watanzania nao kwa kujaribu mambo? Lakini ndiyo mambo ya uhuru wa kusema, ningewashauri wawe clear kwenye hilo walifanyalo waweke objectives zao chini. ANGALAU WAMEJARIBU KUONYESHA NYUSO ZAO.
ReplyDeleteKWA KILA ANAEPATA WADHIFA,AKAIBA,KESHO ANAGEUKA KUWA HERO. ONLY IN TANZANIA.
ReplyDelete