Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akiwa kwenye baiskeli maalum ya wagonjwa Hospitali ya TMJ Dar es Salam leo mchana, wakati akielekea Kituo cha Polisi cha Oyterbay kupewa dhamana.
Hapa Askofu Gwajima akiingia kwenye gari huku akiwa na maumivu makali wakati akielekea kwenye kituo hicho kupewa dhamana
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana
Wachungaji wakibadilishana mawazo wakati wakimsubiri Askofu Gwajima apewe dhamana
Waumini wa kanisa hilo wakijiandaa kumpokea Askofu wao
Ivi mara nyingi kule bungeni sehemu ifahamikayo kama takatifu watu hutoleana lugha ya kuudhi au hata matusi wakati mwengine, mitaani pia hali hiyohiyo lakini watu huyamaliza kimyakimya iweje hili lionekane kuuubwa eti dhamana, kuhojiwa na ishu nyingi nyingi zenye kuchanganya.
ReplyDeleteaahhh Gwajimaaa....Fimbo imeanza kukuchapa mwenyewe badala ya uliyekuwa unamuombea....
ReplyDeleteUsicheze na Cardinal Pengo....Yule mtu wa Mungu Huwa haongei ila akiongea anaongea point.
Hakika dini haiwezi mshika masikio muumini kwa kumuamrisha afanye kitu fulani kuhusu kupigia kura kitu, kwani waumini wana uhuru wao wa kuchagua wanachotaka. Waumini walio wengi ni watu wazima wanamaamuzi yao...
Kinyozi haji nyowi, Ana ponya na kufufua waumini ila yeye kafufuliwa hospitalini!!!!!!!
ReplyDelete