
Mwasibu
wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering, Bi.Magreth Tairo
akizungumza wakati wa kuzindua kampuni hiyo,kwenye kiota cha City Louge
jijini Dar es salaam.Kampuni hiyo inajishugusha na upikaji wa vyakula
katika sherehe mbalimbali yenye makao yake makuu Kinondoni Manyanya Dar
es Salaam.

Wadau walioudhuria katika hafla hiyo wakifuatilia uzinduzi huo.

Timu nzima ya waanzilishi na wamiliki wa Kampuni ya Nivanaa Quality service and catering wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...