Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Maendendeleo ya Utamaduni Wizara ya Habari,
Vijana, Utamaduni na Michezo Kitengo cha Lugha Hajaty Shani Kitogo akizindua vitabu viwili
vya Kuzaliwa kwa Msafiri na Hadithi za Watoto ambavyo vimetayarishwa na Kituo cha
Utamaduni cha India.Hafla hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam
Balozi wa India nchini Debnath Shaw kushoto akimkabidhi vitabu mwanafunzi wa
Shule ya Sekondari ya Makumbusho Sabrina Komba mara baada ya uzinduzi wa vitabu hivyo
uliofanyika katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar salaam jana.
Baadhi ya washiriki wakishuhudia uzinduzi wa vitabu viwili vya Kuzaliwa kwa
Msafiri na Hadithi za Watoto ambavyo vimetayarishwa na Kituo cha Utamaduni cha India.Hafla
hiyo imefanyika jana jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jijini Dar es Salaam wakisoma Vitabu
vilivyozinduliwa katika Kituo cha Utamaduni cha India jijini Dar es Salaam
Picha zote na Frank Shija WHVUM
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...