Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,Mhe. Bernard Membe akiongoza Mkutano wa 45 wa Kikundi Kazi cha Mawaziri wa Jumuiya ya Madola, (Commonwealth Ministerial Action Group-CMAG) unaofanyika Mjini London, Uingereza tarehe 11 na 12 Machi, 2015. Waziri Membe ni Mwenyekiti wa Kikundi Kazi hicho ambaye aliteuliwa wakati wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Madola uliofanyika nchini Sri Lanka mwaka 2013. Kushoto kwa Waziri Membe ni Katibu Mkuu wa Jumuiya hiyo, Bw. Kamalesh Sharma.
Home
Unlabelled
WAZIRI MEMBE AONGOZA MKUTANO WA MAWAZIRI WA JUMUIYA YA MADOLA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Du watanzania kila kila sehemu viongozi
ReplyDeleteNikweli umesema, hawa jamaa nawakumbuka tangu enzi zile za zamani mpaka leo ndio hivyo hivyo walivyo
ReplyDelete