Wananchi wa kijiji cha Mwaniko -Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana alipokuwa akiwahutubia katika mkutano huo wa hadhara.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi katika
mkutano huo uliofanyika kijiji cha Mwaniko Ugweno wilayani Mwanga
mkoani Kilimanjaro.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana (wa nne kushoto akiwa ameongoza na viongozi mbalimbali wa chama,walipokuwa wakiwasili katika mkutano wa hadhara uliofanyika kijiji cha Mwaniko Ugweno wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro.
PICHA NA MICHUZI JR-MWANGA KILIMANJARO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...