Usiku
wa jionee katika uzinduzi wa albamu ya msanii machachari katika tasnia
ya muziki wa kizazi kipya afaamikae kwa jina la Berdon Mnyama juu
pichani hivi karibuni katika uzinduzi wa albamu yake iendayo kwa jina la
jionee, shoo nzima ilisimamishwa vyema na Radio station zote za jiji la
Mbeya ikiwemo Mbeya fm, Sweet Fm, Bomba Fm, Lock Fm, Highland Fm, Dreem
Fm na zingine nyingi sambamba mh.Sambee Shitambala na Michuzi Media
Group.Picha Zote na Mr.Pengo.
baadhi ya wadau na wapenzi kinazi wa msanii berdon mnyama wakifuatilia shoo kwa makini.
zoezi la uzinduzi wa albamu hiyo ikiendeshwa sambamba na mh.Sambee Shitambala ambaye ni advocate na mNEC.
Mh. Sambee Shitambala ambaye ni advocate na mNEC ndiye mgeni rasmi akitoa neno baada ya kuzindua rasmi albamu hiyo.BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...