Vijana,Utamaduni na Michezo  Bw.Patrick Kipangula  (kulia) wakati wa kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu na wadau kutoka Kampuni ya Steps Entertainment kushoto ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Filamu Bw.Sylvester Sengerema.
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Steps Entertainment Bw.Delish Solanki (kushoto) akizungumza na viongozi wa Bodi ya Filamu (hawapo katika picha) katika kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini Bw.Claude Nyalaba (kulia) na Bw.Carles Johns (katikati) wajumbe kutoka kampuni ya Steps Entertainment nchini.
Mjumbe wa Bodi ya Filamu Dkt.Visensia Shule akizungumza katika kikao cha kujadili maendeleo ya tansia ya filamu kilichofanyika hivi karibuni kati ya wadau wa filamu na viongozi wa Bodi ya Filamu nchini.
 Mjumbe kutoka Kampuni ya Steps Entertainment Bw.Claude Nyalaba akisisitiza jambo katika kikao cha wadau wa filamu nchini na uongozi wa Bodi ya filamu kilochofanyika hivi karibuni kujadili maendeleo ya tansia ya filamu nchini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...