Watuhumiwa wa Ujambazi wakiwa wamewekwa chini ya Ulinzi mara baada ya kutiwa mbaroni kwenye mataa ya Red cross katikati ya jiji Dar es salaam muda huu. inaelezwa kuwa Majambazo hao walimvamia na kumpora raia mmoja wa kigeni (Mzungu) maeneo ya Kinondoni na kufanikiwa kukimbia, lakini kumbe wakati wanafanya tukio hilo kuna raia aliwaona na alijitolea kuwakimbiza kwa gari na kuwanikiwa kuwablock maeneo hayo ya Red Cross ambapo huwa na askari wengi wa doria, wamekamatwa na bunduki mbili.
Watuhumiwa hao wakiwa chini ya ulinzi, huku wengine wakijaribu kuficha nyuso zao.
WAKANYEE DEBE
ReplyDeleteWananchi hawa picha zipigwe vizuri tuwajue ili kudhibiti wimbi hili la unyang'anyi jamani. Polisi waweke picha zao kwenye magazeti. Hata Kama washukiwa. Mbona wanaficha sura kama sio kweli wahalifu?
ReplyDelete