Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Nimesikia kuwa Charles anakuja kugombea Urais kwa tiketi ya TLP. Ngoja tusubiri ufike Dar. karibu sana home.

    ReplyDelete
  2. Mdau wa mwanzo hapo juu wahenga walinena....lisemwalo lipo na kama halipo, basi li njiani laja, hivyo tusubiri tusijeanza kuandikia mate bure, wakati wino upo. Binafsi nadhani si vibaya mtu kurejea nyumbani baada ya kuishi ughaibuni kwa kipindi kadhaa, nyumbani ni nyumbani asikwambie mtu, sema tu katika kutafuta maisha au unapolazimika inakuwa hakuna namna wala jinsi. Karibu sana Bw. Charles Hilary uje uchangamshe upya tasnia ya khabari nyumbani.

    ReplyDelete
  3. Njoo uendeleze tasnia ya habari tunahitaji watu wenye ujuzi na uzoefu kama wako.

    ReplyDelete
  4. huyu jamaa ananikumbusha mambo ya macharanga! sijui bado gwiji wa haya mambo au kabadilika?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...