Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja
(Katikati) akizungumza na waandishi wa Habari (Hawapo pichani) wakati wa hafla
ya kukabidhi vifaa vya Michezo kwa klabu ya Mpira ya Lucenti, itakayoshiriki
michuano ya kanda ya Nyanda za juu kusini, itakayofanyika Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Kushoto ni Meneja Fedha wa Benki hiyo Patrick Kyamba na Mwenyekiti wa Klabu ya
Lucent, Yusuph Liambe.
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja,
(Katikati) Mwenyekiti wa Klabu ya Lucenti, Yusuph Liambe, Mkurugenzi wa Bodi ya
Benki hiyo Margreth Kyarwenda wakiwa wameshikilia vifaa vya michezo
vilivyotolewa na Covenant Bank kwa timu hiyo itakayoshiriki michuano ya kanda
ya nyanda za juu kusini itakayofanyika Sumbawanga Mkoani Rukwa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Covenant Bank, Sabetha Mwambenja
akimkabidhi Mwenyekiti wa Klabu ya Lucenti, Yusuph Liambe vifaa vya michezo kwa
ajili ya maandalizi ya Timu hiyo itakayoshiriki michuano ya kanda ya nyanda za
juu kusini itakayofanyika Sumbawanga Mkoani Rukwa. Wanaoshuhudia ni Meneja
Fedha wa benki hiyo. Patrick Kyamba na Mkurugenzi wa Bodi Margreth Kyarwenda.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...