Home
Unlabelled
HARAKATI TV show Hosted by KALAPINA aired on Cloud TV every saturday at 7 - 7.30pm: EPISODE 3 - 2015
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
HONGERA SANA KALAPINA WEWE NI MFANO WA KUIGWA KWA VIJANA WENGI TANZANIA - kazi unaiweza maana unaingia sehemu hatari ambazo mtangazaji au mtu mwingine asingeweza
ReplyDeleteSafi sana waandaaji wote wa hiki kipindi ! Ninauhakika kama 90% ya mitandao yote ya Bongo wakilusha hizi habari kama anavyo fanya anko michuzi , Watanzania tutajitambua vizuri kama tunajanga la Taifa ! Ushauri wangu kwako Kalapi , wakati una muhoji yule Muathilika wa madawa-teja , jalibu kumuuliza ni tukio gani baya ambalo limeisha wahikukukuta ambalo unalijutia kutokanana utumiaji wako wa haya madawa ! Atajieleza kama alikoswa kuchomwa moto ! Au ali kwenda jela ! Ili utupatie picha halisi ya matatizo ya kuwammteja ! Huo ni ushauri wangu tu ! Zaidi yahapo nimekukubali mwana! Waibukie mle Muslim ndani na pale American chips na Mtaa wa Togo !
ReplyDelete