Inspekta Jenerali wa Polisi IGP, Ernest Mangu akisalimiana na maafisa
waandamizi wa Jeshi la Polisi leo mjini Morogoro walipokua
wanamkaribisha kufungua mkutano wa sita wa mwaka wa Usalama wa
Raia saccos (URA-SACCOS). Chama hicho cha akiba na mikopo kimekua
mkombozi wa askari polisi kwa kuwapatia mikopo rahisi. Picha na
Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
Home
Unlabelled
IGP MANGU AWASILI MKOANI MOROGORO KUFUNGUA MKUTANO WA SITA WA MWAKA URA-SACCOS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...