Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akizindua Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanaisa hilo jijini Dar es Salaam juzi

Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, Focus Masawe, akionyesha Kadi maalumu na tiketi kwa ajili ya harambee kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo baada ya kuzindua rasmi
Wanakwaya
wa Paroko wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala, wakiimba wakati wa
uzinduzi uuzaji wa tiketi na kadi Maalumu ya harambee ya kuchangia
ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo juzi.
Waumini wa Kanisa Katoliki Paroki ya Mwananyamala wakiimba wakati wa uzinduzi uuzaji wa tiketi na kadi Maalumu ya harambee ya kuchangia ujenzi na ukarabati wa Kanisa hilo juzi
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...