Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi wa Moshi mjini kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela na kuwaambia kuwa wamekuwa na ushabiki kwa miaka 20 imefika wakati sasa kuamua kuchagua maendeleo kwa manufaa ya maisha yao.Katibu Mkuu wa CCM
Ndugu Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye wamekamilisha ziara yao ya mikoa mitatu ikiwemo Dodoma,Arusha na
Kilimanjaro,Ziara hiyo ililenga Kuimarisha,kutekeleza na kuhimiza Ilani
ya Uchaguzi ya mwaka 2010 ya CCM,ikiwemo pia kusikiliza matatizo ya
Wananchi na kuyapatia ufumbuzi.
wananchi wa Moshi mjini wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela,wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia,ambapo aliwaeleza kuwa wamekuwa na ushabiki kwa miaka 20 imefika wakati sasa kuamua kuchagua maendeleo kwa manufaa ya maisha yao.
wananchi wa Moshi mjini wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela,wakimsikiliza Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye huku wameweka mikono kichwani kuashiria kuwa miaka 20 kwa upinzani jimbo la Moshi mjini imetosha.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akihutubia wakazi wa Moshi mjini mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela na kuwaambie wastuke sasa wasiendelee kukandamizwa na viongozi wasiojali maendeleo yao.
Wakazi wa Moshi mjini wakiwa wamekusanyika kwenye mkutano wa hadhara Bomambuzi viwanja vya shule ya msingi Mandela,wakimsikiliza Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia,ambapo aliwaeleza kuwa wamekuwa na ushabiki kwa miaka 20 imefika wakati sasa kuamua kuchagua maendeleo kwa manufaa ya maisha yao.
Msafara
wa Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana ukiwasili Moshi Mjini
kutokea Wilaya ya Rombo kwa Ziara ya siku kumi ndani ya mkoa wa
Kilimanjaro.
PICHA NA MICHUZI JR-KILIMANJARO
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...