Kituo cha huduma za Sheria kimetoa Mafunzo kwa Maafisa wa Mahakama ya Kadhi juu ya ulinzi wa Mtoto Zanzibar leo hoteli ya Mazsons, Shangani, Zanzibar. Juu nia baadhi ya Mashekh wakisikiliza mada katika mkutano
uliondaliwa na Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar.
MRATIBU wa mafunzo ZLSC Gabriel Mkama akitoa maelekezo katika
mafunzo hayo.
Sheikh Khamis Abdul hamid akiwasilisha maada ya malezi
ya mtoto.
Afisa habari wa Kituo cha Huduma za Sheria Zanzibar
Suleiman Abdulla akitoa ufafanunuzi.
Sheikh akichangia katika mkutano huo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...