Karibu katika sehemu ya kwanza ya mahojiano na mbunifu wa kimataifa wa mitindo mwenye asili ya Tanzania, Linda Bezuidenhout ameeleza mengi ikiwa ni pamoja na historia yake kwa ufupi, safari yake kwenda nje ya nchi, alivyorejea na kuanza harakati zake za mitindo, nani alimfanya ashawishike na fani hii?
Maisha yake kimahusiano je?
Familia yake sasa na inavyokabiliana na kazi zake?
KARIBU
Home
Unlabelled
Mahojiano na Linda Bezuidenhout (LB) sehemu ya kwanza
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Nice story ya maisha ya mapambano but wanawake kama hawa bongo wako wachache sana...hongera sana IRON LADY uko vizuri na ongeza juhudi mpaka kieleweke na LB iwe multinational designer label.
ReplyDeleteHongera sana Linda wewe ni mpambanaji!!!
Mdau Wa UK.