Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania |
\Mmoja ya wafanyabiashara wakubwa waliofanikiwa katika biashara ya mtandao toka mkoa wa Dodoma Ndg George akipozi na wadau wengine wakati semina ikiendelea |
Mkurungezi wa MWANAHARAKATI MZALENDO MEDIA na KAJO ITECH Ndg Krantz Mwantepele ambaye mtaalamu wa biashara ya mtandao na mhamasishaji wa mafanikio akipata taswira na mfanyabishara aliyefanikiwa kwa biashara hiyo toka mkoa wa Dodoma ndg Patrick komba na mdau mwingine.
|
Mfanyabiashara wa kimataifa na mjasiriamali aliyefanikiwa katika biashara ya mtandao dada Mariam Njemu alikuwa ni mmoja wa wazungumzaji waliotoa hamasa kubwa kwa umati wa wakazi wa Dodoma na mikoa ya jirani uliojaa kupata mafunzo ya kuweza kutimiza ndoto zao kwa kufanya biashara hii iliyoaminika na kufanikisha kuwezesha kupatikana mamilionea wengi ndani na nje ya Tanzania Semina ilifanyika jumanne wiki hii katika hoteli ya Dodoma hotel. Kwa habari na picha zaidi BOFYA HAPA |
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...