Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Francis Nanai
akizungumza wakati akizindua asasi ya kuendeleza vijana katika masuala
ya uongozi ijulikanayo kwa jina la Tanzania- Asia Young Leaders (TAYL).
Mjumbe
wa Kamati Kuu na mmoja wa muasisi wa asasi ya TAYL, Ismail Biro
akizungumzia historia na malengo ya asasi hiyo wakati wa uzinduzi
uliofanyika kwenye hotel ya New Africa jijini.
Wajumbe na wanachama wa asasi hiyo walifuatilia uzinduzi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...