| Mgeni Rasmi, Mchungaji Wilbert Nfubhusa akitoa Wazo la Jioni wakati wa uzinduzi wa Retreat hiyo |
Mkutano mkubwa wa kiroho (TAUS
Retreat 2015) ulioandaliwa na Jumuia ya waTanzania Wasabato walioko Marekani (Tanzania Adventists in
the United States) umeanza leo hapa Washington DC.
Anwani ni
Burnt Mills SDA Church;
10915 Lockwood Drive, Silver Spring MD 20901
Tumepata fursa ya kuzungumza na Mchungaji Wilbert Nfubhusa aliyetoa Wazo la Jioni (sikiliza sehemu ya wazo hilo HAPA) na Katibu Mtendaji Saburi Eliamani ambao wameeleza machache kuhusiana na TAUS
Karibu


Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...