Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited(TPCC), Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TPCC, Alfonso Rodrigue na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta
 Mwenyekiti wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) Jean-Marc Junon akizungumza katika Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo ulifanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), Alfonso Rodrigue  (kushoto) akisalimiana na Director wa TPCC, Joseph Rugumyaheto wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa wanahisa wa kampuni hiyo uliofanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mwenyekiti wa kampuni hiyo, Jean-Marc Junon na (kushoto) ni Company Secretary, Brian Kangetta

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...