MKUTANO KUANZA ASUBUHI, HOWARD UNIVERSITY (9:00AM-5:00PM) NA TAMASHA JIONI HOLLYWOOD BALLROOM (7:00PM-12:00 AM))
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi yako mkononi.

Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi
Njoo ujumuike na wapenzi wa Lugha ya Kiswahili pamoja na kupata chakula cha Kiafrika, vinywaji, burudani ya muziki kutoka kwa gwiji Master DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, wakiwemo Anna Mwalagho na AJ Ubao, katika Tamasha la kipekee Washington DC, April 23, 2015.
Nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411(Tumaini), 301-793-2833 (Asha) na 202-830-6555 (Dr. Magembe) kununua tiketi moja kwa moja mkononi.
TIKETI HAZITAUZWA MLANGONI.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...