Spika Anne Makinda na Naibu Waziri wa Maji Mhe. Amos Makalla wakiwa ndani ya treni toka Seoul kwenda Gyeongbuk kushiriki mkutano saba wa Maji wa dunia
Mkutano ukiendelea
Naibu Waziri Maji Mhe Amos Makalla akifuatilia mkutano

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Natumai wakirudi tu tatizo la maji Tz libaki kua historia......

    ReplyDelete
  2. Thubutu mdau hapo juu tatitzo la maji liwe historia Tanzania??? Tuna vyanzo vingi vya maji, mito, bahari, maziwa, chemchem lakini Wahandisi wetu wanaomaliza kila mwaka toka chuo kikuu cha Dar-es-Salaam au hata vyuo vingine hakuna wanalolifanya, kazi yao kuongeza majina ya ajabu kwenye majina yao, kwa mfano watu wanaitwa Eng. flani bila flani ni ujuha mtupu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...