Mimi ni mwalimu wa Kiswahili Sweden natafuta mwalimu yoyote anayefundisha kiswahili hapa ili tuweze badilishana materials. Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu.
Email yangu ni linda.johansson5@kungsbacka.se
Kwa mawasiliano nitumie email.
Blog hii idumu milele, sante sana kaka Michuzi.
ReplyDelete"Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu"
ReplyDeleteMwalimu wa kiswahili huyo.....
Unamkosoa nani???? Toa msaada wee sio mwalimu wa Kiswahili ili uanze kusahihisha Watu hapa. Hongera dada yetu kwa kutangaza Taifa letu na lugha yatu.
ReplyDeleteSasa wewe mwalimu au mwanafunzi mbona mnatutia aibu lkn?!!
ReplyDeleteWewee unaemkashifu mwenzio ndio mbululazzzz....huna kazi ingine mbona unarudiarudia au ni yuleyule..hahhaaa, tunawajua watz wasiopenda maendeleo ya wanawake..mwenzio kaula pole yako
ReplyDeleteMbona mapovu jamani yanawatokaaa kwa wingi.....Hongera dada Linda keep it up,iron lady unajulikana..kaka zetu hoi na ndio wanakashifu hapa...
ReplyDelete"Nashindwa kufundisha kwa ufasaha vile sijapata mwenzangu"
ReplyDeleteMANENO HAYA HAYAJAKAA VIZURI KWA VYOVYOTE VILE MTAKAVYOTETEA. MWENZENU KATOA MAONI MNASEMA MAPOVU. KWA HAKIKA SIO HUKO NJE TU, WATU WENGI HATA HAPA NYUMBANI WANATAMKA MANENO WANAYODAI YA KISWAHILI LAKINI UKISIKILIZA AMA KUSOMA KAMA UNAJUA KISWAHILI UTATAMANI UZIBE MACHO AU MASIKIO.
Sesophy
Msichokijua ni kwamba Linda ni mswid, 'blonde' na kiswahili ni lugha yake ya pili. anastahili kupongezwa sio kubezwa.
ReplyDelete