Na Bashir
Yakub.
Wakopaji nao wana
haki zao. Yapo
mambo ya msingi
ambayo wanapaswa kuyajua
ili yawalinde iwapo
mambo yamewaendea vibaya.
Ukweli ni kuwa
ni busara unapokopa
kulipa deni lakini iwapo sababu za
kibinadamu zimejitokeza ambazo
ziko nje ya uwezo
wa mkopaji na ambazo
kwa namna yoyote
hawezi kuzizuia basi
ni vema mkopaji
awe na njia ya
kujiokoa yeye pamoja
na mali yake.
Uwepo wa
sababu za kibinadamu
zinazoweza kumzuia mtu
kulipa deni ndizo
zilizopelekea kuwapo baadhi ya
mambo katika sheria ambayo humlinda
mkopaji pamoja na
mali yake ikiwa ameshindwa kulipa
mkopo au amechelewa
kwa mujibu wa
makubaliano.
Si kweli kuamini
kuwa mtoa mkopo
ndiye mwenye ulinzi
wa sheria peke
yake, hapana hata
mkopaji naye anao
ulinzi wa sheria
ikiwa mambo yatamwendea
vibaya kama tutakavyoona.
Kwanza
tuangalie sababu za
kibinadamu ambazo zinaweza
kumfanya mkopaji ashindwe
kulipa deni kwa
wakati. Kusoma zaidi BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...