Pichani ni basi aina ya Costa likitoka Dar es Salaam kuelekea Mbeya
limepata ajali na kupinduka kama lionekavyo pichani juu baada ya kuyumba na kuacha njia
eneo la Bwawani muda wa saa 12.30 jana jioni . Kuna majeruhi kadhaa ambao
wanapatiwa matibabu katika kituo cha Afya cha Magereza ya Bwawani.
Chanzo cha ajali kinasadikiwa kuwa ni mwendo kasi na utelezi kutokana na
mvua iliyokuwa inanyesha wakati huo.Chanzo Mdau wa Blog ya Jamii.
Home
Unlabelled
NEWZZ ALERT:AJALI YA BASI BWAWANI LIKIELEKEA MKOANI MBEYA,HAKUNA ALIYEPOTEZA MAISHA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Wasafiri watakuwa wametishika, majeruhi nao wapo hii swala la ajali limezidi ni nini ni utelezi wakati wa mvua au nini.
ReplyDeleteHawa abiria nao hapa nchini wanaendeshwa mwendo kasi alafu wanakaa kimya
ReplyDeleteMimi silalamikii abiria tatizo ni mizani na zile check area ambazo zimewekwa naona rushwa inatuponza
ReplyDelete