Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi
Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Dar es Salaam. Rais Jakaya Kikwete amemteua Hemed Iddi Mgaza
kuwa Balozi wa Tanzania Saudi Arabia.
Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi (KMK), Balozi
Ombeni Sefue jana imesema uteuzi huo ulianza Machi 27.Kabla ya uteuzi huo, Mgaza alikuwa Ofisa Mambo ya Nje Mkuu,
Daraja la Pili na Mkuu wa Utawala katika Ubalozi wa Tanzania Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Congo (DRC).
Mgaza anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Abdillah Omar ambaye mkataba wake wa utumishi umekwisha.
Congratulations Mwalimu Mgaza following your new appointment. This is a clear indication of your hardworking nature, commitment to your country and ability to fulfill the requirement of your job.
ReplyDeleteAll the best.
Yasini Mfunda