Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki Dunia juzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo huko Morogoro.
Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda akitoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki juzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mazishi yake yanatarajiwa kufanyika leo huko Morogoro.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifariji mjane wa marehemu baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki juzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili.
Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda akifariji wana familia baada ya kutoa heshima zake za mwisho kwa mwili wa Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (Mstaafu) aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera ambaye alifariki Dunia juzi asubuhi katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. PICHA NA IKULU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...