Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf
Mkenda akifungua kongamano kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar
es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili
kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili
kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo
endelevu.
Baadhi ya wajummbe kutoka nchini Korea ya Kusini
wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda (hayupo pichani)
wakati alipokuwa fungua kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es
salaam kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili
kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili
kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo
endelevu.
Baadhi ya wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia
mjadala wakati wa kongamano la siku moja lililofanyika leo jijini Dar es salaam
kuhusu masuala ya uwekezaji kati ya Tanzania na Korea ya Kusini ili
kubadilishana uzoefu na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili
kwa kushirikisha sekta ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo
endelevu.
Picha ya pamoja ya
wajumbe kutoka Tanzania na Korea ya Kusini walioshiriki kongamano la siku moja lililofanyika
leo jijini Dar es salaam kuhusu masuala ya uwekezaji ili kubadilishana uzoefu
na kushirikiana katika kuinua uchumi wa nchi zote mbili kwa kushirikisha sekta
ya Umma na sekta binafsi katika kujiletea maendeleo endelevu. Kutoka kushoto
walioketi ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Prof. Adolf Mkenda. Picha na Wizara ya
Fedha
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...