Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa (NIC) Bw. Sam Kamanga (kushoto) akimkabidhi mikataba ya mauziano ya nyumba  zilizopo  Buhire wilayani Musoma Mkurugenzi wa wakala wa majengo ya serikali, Bw. Bartazar Kimangano, katika ofisi za shirika hilo leo jijini Dar es Salaam.

Kutoka kushoto ni Mwanasheria  wa Shirika Bima la Taifa (NIC)  Bi. Verdiana Macha,Kaimu Mkurugenzi wa Shirika Bima la Taifa (NIC), Bw. Sam Kamanga, Mkurugenzi wa wakala wa majengo ya serikali, Bw. Bartazar Kimangano na Mkurugenzi  wa utafiti na Maendeleo Bi. Asha Myanza wakisaini mikataba ya mauziano ya nyumba  zilizopo eneo la Buhire wilayani Musoma leo jijini Dar es Salaam.PICHA NA AVILA KAKINGO WA GLOBU YA JAMII.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...