Sitti Abbas Mtemvu, jina alilopewa kutoka kwa Bibi yake mzaa Baba, ambae
nae wakati wa enzi zake alipewa jina hilo kutokana na umahiri wake wa kughani
akifananishwa na msanii na mtunzi maarufu aliepata kutokea akiitwa Siti Binti
Saad. Umahiri wa bibi ulimfanya kuwahi kushinda tuzo mbalimbali za sanaa wakati
huo katika ukumbi maarufu wa burudani ulioitwa Anatoglou…….Nae alipozaliwa alipewa
tunu, tunu ya jina la Sitti.
Haya ni machache latika kitabu chake kipya kikiitwa – Chozi la
Sitti……Kwa nini ukose kuwa sehemu ya HISTORIA?
02.05.2015
kuanzia saa moja usiku @Mlimani City Conference Hall…..Pata tiketi yako SASA:
0685 01 07 17.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...