Habari wadau,
Naomba kuwajulisha kuwa mwanafamilia mwenzetu mkongwe katika uandishi wa habari za michezo, Masoud Sanani, amefiwa na mama yake mzazi huko kisiwani Pemba. Msiba ulitokea hukohuko Pemba na maziko yamefanyika Jana asubuhi.
Kwa niaba ya TASWA tunampa pole na tupo naye pamoja katika kipindi hiki kigumu kwake. Kwa wanaotaka kumfariji binafsi Masoud Sanani kwa namna mbalimbali namba zake za simu ni 0712 020020 na 0772003377.
Katibu Mkuu TASWA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...